Translate

Tangazo la Hadithi

Saturday 4 January 2014

CHEKA UNENEPE - Nyoka na Panya










Siku moja panya katika tembea tembea yake akamkanyaga nyoka. Mzozo mkubwa ukazuka kati yao. Mzozo ukawa kama ifuatavyo.


Nyoka: Oya dogo mbona unanikanyaga?


Panya: Daah, sorry bro bahati mbaya.

Nyoka: Bahati mbaya kitu gani, lione kwanza toto dogo midevu 
             kibao.

Panya: aaah nenda zako kule, kubwa zima hadi leo unatambaa!!








No comments:

Post a Comment