Translate

Tangazo la Hadithi

Friday 18 April 2014

Maria Nyerere enzi hizo mpaka sasa




























Maria Nyerere akiwa na mume wake Rais wa kwanza wa Tanzania na baba wa Taifa la Tanzania mwalimu Kambarage Nyerere na watoto wao






Maria Nyerere (kulia) akiwa na mume wake Rais wa kwanza wa Tanzania na baba wa Taifa la Tanzania mwalimu Kambarage Nyerere na mama mzazi wa mwalimu Julius Kambarage Nyerere November, 1985




















































































Kweli tumetoka mbali






Graca Machel akiwa na mume wake wa kwanza ambaye alikuwa ni rais wa kwanza wa Msumbiji aliyefariki kwa ajali ya ndege mwaka 1986 Samora Machel  







Graca Machel (wa pili kutoka kulia) akiwa na mama Maria Nyerere (wa kwanza kulia) pamoja na waume zao Samora Machel (wa kwanza kushoto) na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (wa pili kutoka kushoto)




Baada ya miaka mingi kupita Graca Machel alivyo kwa sasa






























Baada ya miaka mingi kupita Maria Nyerere alivyo kwa sasa






Monday 14 April 2014

Harusi ya mtoto wa Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan






Rais Goodluck Jonathan akiwa na binti yake Faith








Rais Goodluck Jonathan akimkabidhi binti yake Faith kwa ajili ya kufunga ndoa






















Rais Goodluck Jonathan (wa kwanza kushoto) akiwa na mke wake Patience Jonathan (wa kwanza kulia) pamoja na mama wa bwana harusi (wa pili kushoto) na baba mzazi wa bwana harusi (wa pili kulia) na maharusi Faith Sakwe na Godswill Osim Edward





Wageni waalikwa






Shamra shamra zikiendelea





















Wageni waalikwa nao waliondoka na zawadi zao, mojawapo ikiwa ni gold-plated iphone

















Thursday 10 April 2014

Leleti Khumalo a.k.a Sarafina na familia yake























Sarafina akiwa na watoto wake mapacha Yamukelani na Ulwenzile








Sarafina akiwa na mume wake Skhuthazo Kanyile siku ya harusi yake







Sarafina akiwa na mama yake mzazi




Samuel Eto'o na familia yake





















Samuel Eto'o akiwa na mke wake Georgette Eto'o





Samuel Eto'o akiwa na mke wake Georgette Eto'o







Samuel Eto'o akiwa na mke wake Georgette Eto'o na mmoja wa watoto wo







Samuel Eto'o akiwa na mke wake Georgette Eto'o na wa watoto wo







Samuel Eto'o akiwa na mke wake Georgette Eto'o na wa watoto wo








Samuel Eto'o na mmoja wa watoto wake






Samuel Eto'o na mmoja wa watoto wake







Samuel Eto'o akiwa na baadhi ya watoto wake





Mke wa Samuel Eto'o, Georgette akiwa na watoto wake 





Mke wa Samuel Eto'o, Geogette akiwa na watoto wake 





Samuel Eto'o akiwa na watoto wake





Samuel Eto'o akiwa na familia yake