Translate

Tangazo la Hadithi

Thursday 20 November 2014

Je Wajua?



Je Wajua kuwa mwanamuziki maarufu Shania Twain aliyeimba nyimbo kama "You're still the One", "Forever and for Always", "From this Moment On" na nyingine kibao ambaye aliolewa na mume wake aliyekuwa akiitwa Robert  Lange "Mutt" ambaye pia alikuwa Producer wake waliachana baada ya kugundulika kuwa mume huyo wa Shania Twain alikuwa akitembea na rafiki kipenzi wa Shania Twain anayeitwa Marie-Anne Thiebaud ambaye naye alikuwa ameolewa na Frederic Thiebaud raia wa Switzeland.


Shania Twain na mume wake Robert Lange ambao walioana tarehe 28 mwezi wa 12 mwaka 1993 walitengana tarehe 15 mwezi wa 5 mwaka 2008 baada ya Shania Twain kugundua uhusiano huo usiofaa kati ya mume wake na rafiki yake huyo kipenzi.


Shania Twain na mume wake Robert Lange "Mutt" waliachana kwa talaka mnamo tarehe 9 mwezi wa 6 mwaka 2010. Shania Twain na mume wake Robert Lange walijaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume kwenye ndoa yao anayeitwa Eja aliyezaliwa mwezi wa 8 mwaka 2001.


Baada ya kuachana na mume wake Shania Twain alichumbiwa tena na Frederic Thiebaud aliyekuwa mume wa rafiki yake kipenzi Marie-Anne Thiebaud (ambaye alimchukulia mume wake) tarehe 20 mwezi wa 12 mwaka 2010 na mnamo tarehe 1 mwezi wa 1 mwaka 2011 Shania Twain na Frederic Thiebaud aliyekuwa mume wa rafiki yake kipenzi Marie-Anne Thiebaud walioana huko Rincon, Puerto Rico na mpaka sasa bado wanaendelea kuishi pamoja kama mume na mke.


Katika mahojiano aliyoyafanya na baadhi ya vyombo vya habari, Shania Twain alikiri kuumizwa sana na kitendo hicho alichofanyiwa na rafiki yake huyo kipenzi kwani alikuja kugundua kuwa rafiki yake huyo alikuwa na mahusiano na mume wake kwa zaidi ya miaka kumi na hata yeye alivyokuwa akimueleza rafiki yake huyo kuhusu matatizo ya ndoa yake na kwamba anahisi mume wake ana mwanamke mwingine rafiki yake huyo ndio alikuwa akimpa moyo kumbe hakujua kuwa yeye mwenyewe ndio anayemuharibia ndoa yake.




  • Swali la Kizushi: Je unadhani kuwa Shania Twain na Frederic Thiebaud mume wa rafiki yake Shania Twain waliamua kuoana ili kulipiza kisasi na kuwakomoa mume wa Shania Twain na rafiki yake Shania Twain au nao walipendana kweli?



Shania Twain akiwa na mume wake wa kwanza Robert Lange "Mutt"



Shania Twain (kushoto) akiwa na aliyekuwa rafiki yake kipenzi Marie-Anne Thiebaud (kulia)



Shania Twain akiwa na mume wake wa sasa Frederic Thiebaud




Shania Twain akiwa na mume wake wa sasa Frederic Thiebaud




Shania Twain akiwa na mume wake wa sasa Frederic Thiebaud




Shania Twain akiwa na mume wake wa sasa Frederic Thiebaud



Mojawapo za interviews za Shania Twain akielezea kuhusu  rafiki yake kipenzi Marie-Anne Thiebaud alivyokuwa na mahusiano na mume wake





BAADHI YA NYIMBO ZA SHANIA TWAIN ZILIZOVUMA SANA


Forever and For Always






You're Still The One 







From This Moment On




Monday 11 August 2014

Ujumbe wa Leo...




"7 Things negative people will do to you. They will...

1. Demean your value

2. Destroy your image

3. Drive you crazily!

4. Dispose your dreams!

5. Discredit your imagination!

6. Deframe your abilities and

7. Disbelieve your opinions!


Stay away from negative people"

- Israelmore Ayivor





Friday 8 August 2014

CHEKA UNENEPE - Girlfriend na Boyfriend





Kijana mmoja alikuwa akichat kwenye simu na girlfriend wake na mazungumzo yao yalikuwa kama ifuatavyo:




Boyfriend: Baby unaweza kuja Home mara moja?


Girlfriend: Hapana, siwezi mpenzi, maana jana sikunyoosha nguo, hivyo nguo zangu zote zimekunjana na umeme umekatika.


Boyfriend: Aaah pole sana Baby... kwa hiyo hela uliyoniomba jana itakuwaje? maana nilitaka uje uchukue.


Girlfriend: Huooo! Yaani baby kama mchawi vile...nilipomaliza kusoma tu meseji yako na umeme nao umerudi...Nisubiri dakika tatu tu nakuja baby.


Chezea mademu wa siku hizi!!!











Mmmhhh Sijui Kweli!?




Eti inadaiwa kuwa kirefu cha MOSHI ni:





Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo = MOSHI









Friday 6 June 2014

Ijue Familia ya Rihanna





Rihanna akiwa na mama yake mzazi Monica Brathwaite





Rihanna akiwa na baba yake mzazi Ronald Fenty





Rihanna akiwa na mama yake mzazi Monica Brathwaite pamoja na babu yake mzaa mama Lionel Brathwaite






Rihanna akiwa na mama yake mzazi Monica Brathwaite





Rihanna akiwa na mdogo wake wa mwisho Rajad





Rihanna akiwa na mdogo wake wa mwisho Rajad






Rihanna akiwa na kaka yake Rorrey







Rihanna akiwa na kaka yake Rorrey




Rihanna kabla hajawa maarufu






Rihanna alivyokuwa mdogo kabla hajawa maarufu






Rihanna alivyokuwa mdogo kabla hajawa maarufu






Rihanna akiwa na mama yake Monica Brathwaite enzi hizo kabla hajawa maarufu






Rihanna akiwa na mama yake Monica Brathwaite, baba yake Ronald Fenty na mdogo wake Rajad enzi hizo kabla hajawa maarufu






Rihanna baada ya kuwa maarufu





Rihanna baada ya kuwa maarufu




Friday 18 April 2014

Maria Nyerere enzi hizo mpaka sasa




























Maria Nyerere akiwa na mume wake Rais wa kwanza wa Tanzania na baba wa Taifa la Tanzania mwalimu Kambarage Nyerere na watoto wao






Maria Nyerere (kulia) akiwa na mume wake Rais wa kwanza wa Tanzania na baba wa Taifa la Tanzania mwalimu Kambarage Nyerere na mama mzazi wa mwalimu Julius Kambarage Nyerere November, 1985




















































































Kweli tumetoka mbali






Graca Machel akiwa na mume wake wa kwanza ambaye alikuwa ni rais wa kwanza wa Msumbiji aliyefariki kwa ajali ya ndege mwaka 1986 Samora Machel  







Graca Machel (wa pili kutoka kulia) akiwa na mama Maria Nyerere (wa kwanza kulia) pamoja na waume zao Samora Machel (wa kwanza kushoto) na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (wa pili kutoka kushoto)




Baada ya miaka mingi kupita Graca Machel alivyo kwa sasa






























Baada ya miaka mingi kupita Maria Nyerere alivyo kwa sasa






Monday 14 April 2014

Harusi ya mtoto wa Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan






Rais Goodluck Jonathan akiwa na binti yake Faith








Rais Goodluck Jonathan akimkabidhi binti yake Faith kwa ajili ya kufunga ndoa






















Rais Goodluck Jonathan (wa kwanza kushoto) akiwa na mke wake Patience Jonathan (wa kwanza kulia) pamoja na mama wa bwana harusi (wa pili kushoto) na baba mzazi wa bwana harusi (wa pili kulia) na maharusi Faith Sakwe na Godswill Osim Edward





Wageni waalikwa






Shamra shamra zikiendelea





















Wageni waalikwa nao waliondoka na zawadi zao, mojawapo ikiwa ni gold-plated iphone