Translate

Tangazo la Hadithi

Thursday 19 September 2013

Msanii Van Vicker wa Ghana atua Bongo

Van Vicker akiwa na Hashim Kambi na binti wa Hashim Kambi kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere.

Saturday 14 September 2013

Mtanzania afia Dubai akiwa na madawa ya kulevya tumboni

Mtanzania mmoja ambaye ametambulika kwa jina moja tu la Chambuso amefariki dunia huko Dubai baada ya kupasukiwa na madawa ya kulevya aliyokuwa amemeza. Inasemekana madawa hayo yaliyeyuka na kumpasukia tumboni kabla ya kufika kwenye kituo husika.

Friday 13 September 2013

Padri wa kanisa katoliki amwagiwa tindikali huko Zanzibar



Padri wa kanisa Katoliki parokia ya Cheju Zanzibar, Anselmo Mwang'amba amemwagiwa tindikali na watu wasiojulikana na kumsababishia majeraha katika maeneo ya usoni na kifuani.





Picha ya Padri Anselmo Mwang'amba baada ya kumwagiwa tindikali