Translate

Tangazo la Hadithi

Thursday 23 January 2014

Wakati Wengine wakiwa na amani na furaha, kinachoendelea huko Sudan ya Kusini ni hiki


















































Wakati wengine wakiwa na Amani na Furaha, kinachoendelea huko Central African Republic ni hiki
























































Wakati wengine wakiwa na Amani na Furaha, kinachoendelea huko Syria ni hiki





























































Wanawake na watoto ndio wanaoteseka zaidi
























Pretta wa Tamthilia ya Shades of Sin akiwa na familia yake






Pretta ni msanii aliyejulikana sana kwa ku act kwenye tamthilia ya Da Cor do Pecado (Shades of Sin). Jina lake halisi ni Tais Araujo. Pretta ni Mbrazil na amezaliwa mnamo tarehe 25 mwezi wa kumi na moja mwaka 1978 huko Rio de Janeiro nchini Brazil. Pretta ana asili ya kutoka Afrika, Austria na Ureno.

Pretta pia anajulikana kwa ku act tamthilia nyingine kama vile Xica da Silva ya mwaka 1996, Cheias de Charme ya mwaka 2012 na Viver a vida ya mwaka 2009. Pretta ameolewa na Lazaro Ramos ambaye pia ni muigizaji, na wamejaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume aliyezaliwa mwezi wa 6 mwaka 2011 anayeitwa Joao Vicente. 



Tais Araujo "Pretta"






Tais Araujo "Pretta" akiwa na mume wake Lazaro Ramos





Tais Araujo "Pretta" akiwa na mume wake Lazaro Ramos





Tais Araujo "Pretta" akiwa na mume wake Lazaro Ramos





Tais Araujo "Pretta" akiwa na mwanae Joao Vicente





Tais Araujo "Pretta" akiwa na mume wake Lazaro Ramos pamoja na mtoto wao Joao Vicente alivyokuwa mchanga






Tuesday 21 January 2014

CHEKA UNENEPE - Baba na Kijana wake











Baba: Nataka umuoe msichana nitakayekuchagulia.


Kijana: Hapana baba, ninaye ninayempenda.


Baba: msichana mwenyewe niliyekuchagulia ni mtoto wa Bill Gates.


Kijana: Kama hivyo sawa.



Baba akaenda kwa Bill Gates.


Baba: Nataka binti yako aolewe na kijana wangu.


Bill Gates: Hapana!


Baba: Kijana wangu ni mkurugenzi wa Benki ya Dunia.


Bill Gates: Kama hivyo sawa.



Baba akaenda kwa rais wa benki ya dunia.


Baba: Mchague mwanangu kuwa mkurugenzi


Rais wa Benki ya Dunia: Hapana.


Baba: Ni mkwe wa Bill Gates.


Rais wa Benki ya Dunia: Kama hivyo sawa












CHEKA UNENEPE - Mgombea Urais na Waandishi wa Habari











Jamaa mmoja ambaye alikuwa anataka kugobea nafasi ya urais chini mwake alikutana na waandishi mbalimbali kwa ajili ya kumuuliza mgombea huyo maswali. Mwandishi mmoja alianza kumuuliza swali na mazungumzo yao yalikuwa kama ifuatavyo.


Mwandishi: Muheshimiwa mgombea urais je unafikiri ni mambo gani ambayo utaweza kuifanyia nchi hii kama utashinda nafasi ya urais?


Mgombea urais: Nafikiri kitu cha kwanza nitakachofanya nikipata urais nitahakikisha natimiza ndoto yangu ya kuiwezesha nchi yangu kuwa ndio nchi ya kwanza kufika kwenye jua.


Mwandishi: Lakini muheshimiwa kwenye jua kuna joto kali sana sasa itakuwaje? si tutawapoteza hao wana sayansi utakaowatuma kwenda huko kwenye jua?


Mgombea urais: Ha ha ha haaaa Bwana mwandishi, unafikiri mimi ni mjinga? tutawatuma kwenda huko usiku  sio mchana.



Duuuuuh!!!!!!!!










Sunday 19 January 2014

Van Vicker Muigizaji wa Ghana akiwa na familia yake









Joseph Van Vicker ambaye anajulikana zaidi kama Van Vicker ni muigizaji wa filamu kutoka Ghana. Van Vicker amezaliwa tarehe 1 mwezi wa 8, mwaka 1977. Van Vicker ameoa na ana watoto watatu, mabinti wawili wanaoitwa J-ian, J'dyl na mvulana mmoja anayeitwa Vj.  





Van Vicker





Van Vicker akiwa na Familia yake
Van Vicker akiwa na mke wake Adjoa







Van Vicker akiwa na mke wake pamoja na watoto wao, J-ian, J'dyl na aliyepakatwa Vj








Van Vicker akiwa na mke wake pamoja na watoto wao, J-ian, J'dyl na aliyepakatwa Vj








Van Vicker akiwa na mke wake pamoja na watoto wao, J'dyl, J-ian na aliyebebwa Vj






Van Vicker akiwa na watoto wake, Vj, J-ian na J'dyl







Van Vicker akiwa na mke wake pamoja na watoto wao





Van Vicker akiwa na mke wake pamoja na watoto wao





Saturday 18 January 2014

Wednesday 15 January 2014

Tumetoka Mbali - Beyonce Knowles





Beyonce Knowles akiwa mtoto







Beyonce Knowles akiwa mtoto








Beyonce Knowles akiwa na mdogo wake Solange Knowles







Beyonce Knowles








Beyonce akiwa na mdogo wake Solange







Beyonce Knowles 






Beyonce Knowles akiwa na mama yake, Tina Knowles






Beyonce Knowles akiwa na mama yake, Tina Knowles







Beyonce Knowles (kushoto) akiwa na mdogo wake Solange Knowles (katikati) pamoja na mama yao Tina Knowles (kulia)







Beyonce Knowles (kushoto) akiwa na mdogo wake Solange Knowles (kulia) pamoja na baba yao, Mathew Knowles






Beyonce Knowles 







Beyonce Knowles (katikati) akiwa na mdogo wake Solange Knowles






Beyonce Knowles 







Beyonce Knowles akiwa na baba yake, Mathew Knowles







Beyonce Knowles akiwa na mama yake, Tina Knowles






Beyonce Knowles akiwa na wazazi wake, Mathew Knowles na Tina Knowles







Beyonce Knowles akiwa na wazazi wake, Mathew Knowles na Tina Knowles






Beyonce Knowles akiwa na wazazi wake, Mathew Knowles na Tina Knowles







Beyonce Knowles akiwa na mama yake, Tina Knowles







Beyonce Knowles akiwa na baba yake, Mathew Knowles







Beyonce Knowles akiwa na mtoto wake Blue Ivy Carter






Beyonce Knowles 







Beyonce Knowles 






Beyonce Knowles akiwa na mume wake Jay Z.