Translate

Tangazo la Hadithi

Wednesday 8 January 2014

Mazuri yanayofanywa na viongozi wetu - Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya kwa tiketi ya CCM Mary Mwanjelwa akitoa msaada wa Mabati 20 na mipira 2









Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya kwa tiketi ya CCM Dr. Mary Mwanjelwa akikabidhi msaada wa mabati ishirini (20) kwa ajili ya ujenzi wa msikiti Majengo jijini Mbeya, July 2013.



















Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya kwa tiketi ya CCM Dr. Mary Mwanjelwa akikabidhi msaada wa mipira miwili kwa ajili ya Timu ya vijana iliyopo Majengo.


























No comments:

Post a Comment