Translate

Tangazo la Hadithi

Thursday 23 January 2014

Pretta wa Tamthilia ya Shades of Sin akiwa na familia yake






Pretta ni msanii aliyejulikana sana kwa ku act kwenye tamthilia ya Da Cor do Pecado (Shades of Sin). Jina lake halisi ni Tais Araujo. Pretta ni Mbrazil na amezaliwa mnamo tarehe 25 mwezi wa kumi na moja mwaka 1978 huko Rio de Janeiro nchini Brazil. Pretta ana asili ya kutoka Afrika, Austria na Ureno.

Pretta pia anajulikana kwa ku act tamthilia nyingine kama vile Xica da Silva ya mwaka 1996, Cheias de Charme ya mwaka 2012 na Viver a vida ya mwaka 2009. Pretta ameolewa na Lazaro Ramos ambaye pia ni muigizaji, na wamejaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume aliyezaliwa mwezi wa 6 mwaka 2011 anayeitwa Joao Vicente. 



Tais Araujo "Pretta"






Tais Araujo "Pretta" akiwa na mume wake Lazaro Ramos





Tais Araujo "Pretta" akiwa na mume wake Lazaro Ramos





Tais Araujo "Pretta" akiwa na mume wake Lazaro Ramos





Tais Araujo "Pretta" akiwa na mwanae Joao Vicente





Tais Araujo "Pretta" akiwa na mume wake Lazaro Ramos pamoja na mtoto wao Joao Vicente alivyokuwa mchanga






No comments:

Post a Comment