Translate

Tangazo la Hadithi

Tuesday 7 January 2014

Nadia Buari, muigizaji wa Ghana na ndugu zake







Nadia Buari ni muigizaji kutoka Ghana. Nadia Buari ni mtoto wa kwanza kwa mama yake mzazi ambapo wamezaliwa watano.





Nadia Buari





Nadia Buari





Nadia Buari akiwa na ndugu zake
Nadia Buari (kulia) akiwa na mama yake mzazi Caddy Buari





Nadia Buari (kulia) akiwa na mama yake mzazi Caddy Buari






Nadia Buari (kulia) akiwa na mama yake mzazi Caddy Buari








Nadia Buari (kushoto) akiwa na mdogo wake Sydikat Buari (kulia) pamoja na baba yao mzazi Alhaji Sidiku Buari 






Nadia Buari (kulia) akiwa na mdogo wake Sydikat Buari (kushoto)





Nadia Buari (kulia) akiwa na mama yake mzazi, Caddy Buari (katikati) na mdogo wake Sydikat Buari (kushoto)





Nadia Buari (kushoto) akiwa na mdogo wake wa mwisho, Samera Buari (kulia) pamoja na rafiki






Nadia Buari (kushoto) akiwa na mdogo wake wa mwisho, Samera Buari (kulia)





Nadia Buari akiwa na mdogo wake Majeed Buari





Nadia Buari (katikati) akiwa na wadogo zake; kutoka kushoto ni mdogo wake wa nne kuzaliwa Jameel Buari, mdogo wake wa mwisho kuzaliwa Samera Buari, Nadia Buari, mdogo wake wa pili kuzaliwa Sydikat Buari na mdogo wake wa tatu kuzaliwa Majeed Buari





Nadia Buari akiwa na mama yake pamoja na wadogo zake. Kutoka kushoto ni Jameel Buari, Mama yao Caddy Buari, Majeed Buari, Nadia Buari na Sydikat Buari






Nadia buari (wa pili kutoka kulia) akiwa na wadogo zake, Sydikat Buari (kushoto), Jameel Buari (wa pili kutoka kushoto) na Majeed Buari (kulia)





No comments:

Post a Comment