Translate

Tangazo la Hadithi

Wednesday 15 January 2014

Beyonce Knowles na ndugu zake









Beyonce Knowles ni muimbaji maarufu wa marekani na pia ni muigizaji. Beyonce ni mtoto wa kwanza kuzaliwa. Beyonce wamezaliwa wawili kwa baba yake anayeitwa Mathew Knowles na mama yake anayeitwa Tina Knowles. Mdogo wake anaitwa Solange Knowles. Pia ana mdogo mwingine aliyezaliwa na baba yao na mwanamke mwingine anayeitwa Nixon Knowles. 

Beyonce ameolewa na Jay Z ambaye pia ni mwanamuziki wa Marekani na wana mtoto mmoja anayeitwa Blue Ivy Carter. 






Beyonce na Ndugu zake
Wazazi wa Beyonce, Mathew Knowles na Tina Knowles







Beyonce akiwa na wazazi wake, Mathew Knowles na Tina Knowles







Beyonce akiwa na wazazi wake, Mathew Knowles na Tina Knowles







Beyonce akiwa na baba yake mzazi Mathew Knowles 







Beyonce akiwa na mama yake mzazi Tina Knowles






Beyonce akiwa na mama yake mzazi Tina Knowles







Beyonce (kushoto) akiwa na mdogo wake, Solange Knowles (kulia)







Beyonce (kulia) akiwa na mdogo wake, Solange Knowles (kushoto)







Beyonce (kushoto) akiwa na mdogo wake, Solange Knowles (katikati) pamoja na mama yao, Tina Knowles (kulia)







Beyonce akiwa na familia yake. Kutoka kushoto, mdogo wake Solange Knowles, mama yake Tina Knowles, Beyonce Knowles na baba yake Mathew Knowles






Beyonce pamoja na familia yake







Beyonce Knowles (kulia) akiwa na mama yake Tina Knowles (kushoto), mdogo wake Solange Knowles (wa pili kutoka kushoto) na mtoto wa Solange Daniel Julez Smith Junior







Beyonce akiwa na mtoto wake Blue Ivy Carter







Beyonce akiwa na mtoto wake Blue Ivy Carter







Beyonce na mume wake Jay Z





No comments:

Post a Comment