Translate

Tangazo la Hadithi

Wednesday 15 January 2014

Kweli mtoto Hakui kwa mama yake







Yani hata mtu uwe na cheo gani, uwe tajiri kiasi gani, uwe na pesa kiasi gani, uwe maarufu kiasi gani, uwe mzee kiasi gani bado kwa mama yako unabaki kuwa ni mtoto tu.

Mchezaji maarufu wa mpira kutoka Ureno ambaye kwa sasa anachezea timu ya Real Madrid ya Spain akitengenezwa koti vizuri na mama yake mzazi aitwaye Dolores Aveiro huku dada yake akiangalia siku ya sherehe yake ya kuzaliwa ya kutimiza miaka 27 tarehe 5 February, mwaka 2012.  Hii inadhihirisha kwamba, mbali na umaarufu alio nao Cristiano Ronaldo kwa mama yake anabaki kuwa ni mtoto tu.




No comments:

Post a Comment