Translate

Tangazo la Hadithi

Wednesday 8 January 2014

Ukatili kwa wanawake - Mwanamke akatwa mkono na mume wake




Mchali Kihiyo akionyesha mkono wake wa kushoto uliokatwa kwa panga na mume wake



Mwanamke mmoja anayeitwa Mchali Kihiyo ambaye ni mama wa watoto sita amekatwa mkono wa kushoto na pia kujeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake na aliyekuwa mume wake ambaye wameishi pamoja kwa zaidi ya miaka 17. Tukio hilo ambalo limemsababishia ulemavu wa maisha lilitokea mnamo tarehe 7 Agosti, mwaka 2013.




No comments:

Post a Comment