Translate

Tangazo la Hadithi

Wednesday 3 May 2023

Thursday 20 April 2023

Monday 17 April 2023

Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 24




Baada ya kutafakari kwa muda mjomba wake Kachiki alimuita mke wake ambaye alikuwa nje ili kumuuliza kama amechukua pesa zake. Baada ya kufika alianza kumuuliza mke wake kama amechukua pesa zake alizokuwa ameziweka kwenye meza hapo chumbani ambazo alikuwa amezifunika na kitambaa, mke wake alikataa kata kata kuwa hajagusa kabisa kwenye hiyo meza pia hajazichukua. Mke wake aliendelea kumueleza kuwa kama angekuwa na shida yoyote inayohitaji pesa basi angemuomba na sio kuchukua bila idhini yake. Na isitoshe hata yeye wenyewe anafahamu kabisa kuwa akitaka pesa huwa anamuomba yeye mwenyewe. Mjomba wake Kachiki alianza kupandwa na hasira.....


Endelea kusikiliza hadithi ya Kachiki kujua pesa za mjomba wake Kachiki zimechukuliwa na nani.... 👆







Friday 14 April 2023

Hadithi ya Kachiki

Habari wasikilizaji wa hadithi kilimani, kuendelea kufurahia na kusikiliza hadithi zetu mbalimbali tunapatikana pia kwenye youtube. Tunaomba usubscribe kwenye channel yetu ya youtube. Kwenda kwenye channel yetu ya youtube bonyeza kwenye link hii 👇

https://youtube.com/@hadithimbalimbali

Thursday 13 April 2023

Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 23

Endelea kusikiliza hadithi hii ya Kachiki sehemu ya 23






Wednesday 12 April 2023

Tuesday 4 April 2023

Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 21

Endelea kusikiliza hadithi hii ya Kachiki sehemu ya 21



Thursday 30 March 2023

Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 19

Endelea kusikiliza hadithi hii ya Kachiki sehemu ya 19 ili kujua nini kitaendelea katika maisha ya Kachiki baada ya ndoto zake zote kuzimika.





Tuesday 28 March 2023

Hadithi ya Kachiki - sehemu ya 18

Endelea kusikiliza hadithi ya Kachiki sehemu ya 18 hapa 👇 






Monday 27 March 2023

Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 17

Endelea kusikiliza hadithi ya Kachiki sehemu ya 17 👇




Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 16

 



Habari wasikilizaji wa hadithi zetu tunaomba sana mtu support kwa ku subscribe kwenye chanel yetu youtube.

Bonyeza link hii hapa 👇 chini halafu bonyeza palipo andikwa subscribe. Asanteni sana 🙏 

https://www.youtube.com/@hadithimbalimbali




Sunday 26 March 2023

Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 15

Endelea kusikiliza hadithi ya Kachiki sehemu ya 15 👇



Pia unaweza kutembelea ukurasa wetu wa youtube na ku subscribe ili kuendelea kufurahia hadithi zetu

https://youtube.com/@hadithimbalimbali



Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 14

Endelea kusikiliza hadithi ya Kachiki sehemu ya 14 👇




Pia unaweza kutembelea ukurasa wetu  youtube na ku subscribe ili kuendelea kufurahia hadithi zetu

https://youtube.com/@hadithimbalimbali



Saturday 25 March 2023

Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 13

Endelea kusikiliza hadithi ya Kachiki sehemu ya 13 👇




Pia unaweza kutembelea ukurasa wetu wa youtube na ku subscribe ili kuendelea kufurahia hadithi zetu

https://youtube.com/@hadithimbalimbali



Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 12

Endelea kusikiliza hadithi ya Kachiki sehemu ya 12 👇


Pia unaweza kutembelea ukurasa wetu wa youtube na ku subscribe ili kuendelea kufurahia hadithi zetu

https://youtube.com/@hadithimbalimbali



Endelea kufatilia hadithi ya Kachiki

 

Habari wasomaji na wasikilizaji wa hadithi kilimani kuendelea kufurahia na kusikiliza hadithi zetu tunapatikana pia kwenye youtube. Tunaomba usubscribe kwenye channel yetu ya youtube. Kwenda kwenye channel yetu ya youtube bonyeza 👇

https://youtube.com/@hadithimbalimbali



Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 11

Baada ya Kachiki kusaidiwa na mwalimu wake mkuu na mwalimu wake wa darasa na hivyo kurudi tena shuleni je nini kiliendelea kwenye maisha ya Kachiki huku akianza kuishi na mjomba wake?

Endelea kufatilia hadithi hii ya Kachiki kwa kubonyeza hapa chini 👇 kusikiliza sehemu ya 11






Friday 24 March 2023

Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 10

Endelea kuburudika kwa kusikiliza Hadithi ya Kachiki sehemu ya 10 hapa 👇






Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 9

Endelea kusikiliza hadithi ya Kachiki sehemu ya 9 hapa 👇





Baada ya kufika kijijini siku iliyofuata mjomba wake Kachiki alikwenda shuleni kumuona mwalimu mkuu, Mr. Gwaya na mwalimu wa darasa wa Kachiki mwalimu Songambele. Mwalimu mkuu Mr. Gwaya na Mwalimu wa darasa mwalimu Songambele walivyomuona mjomba wake Kachiki walifurahi sana na kuwa na hamu kubwa ya kutaka kujua furaha aliyoipata Kachiki baada ya kumuona mama yake mzazi. Hivyo walianza kumuuliza Kachiki anaendeleaje, na alifurahi vipi alivyomuona mama yake mzazi kwa mara ya kwanza?

Mjomba wake Kachiki kwa huzuni alianza kuwaeleza walimu hao kuwa amerudi na Kachiki na pia kwasasa yupo naye hapo kijijini na ndio maana ameona aje hapo shuleni kuwaona ili kuwajulisha kuhusu hilo....

Je walimu wa Kachiki watafanyaje baada ya kusikia kuwa Kachiki amerudi na yupo hapo kijijjini kwa mjomba wake?

Endelea kusikiliza hadithi ya Kachiki sehemu ya 9

Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 8 inaendelea



Je maisha ya Kachiki yatakuaje baada ya yeye na mjomba wake kurudi kijijini?


Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 8



KACHIKI NA MJOMBA WAKE WANARUDI KIJIJINI

Kachiki alikosa raha sana na kukata tamaa kabisa baada ya kutomuona mama yake. Aliwaza mama yake atakuwa wapi? Alimuangalia mjomba wake na kumuona kuwa hana furaha, pia alionekana ni mwenye mawazo mengi mno. Aliwaza labda mama yake atakuwa alikufa ndio maana mjomba wake alikuwa ni mwenye huzuni na katika hali ile na ndiyo maana hakutaka kumueleza chochote kuhusu mama yake alipo, au anasubiri kumueleza wakifika nyumbani?...


Ili kujua kilichompata mama yake Kachiki endelea kusikiliza hadithi hii ya Kachiki..👆




Thursday 23 March 2023

Hadithi mbalimbali

Je wewe ni mpenzi wa hadithi? kama jibu ni ndio endelea kusikiliza hadithi zetu youtube kupitia channel yetu ya @Hadithimbalimbali. Bonyeza link hapo chini 👇 kufika kwenye channel yetu ya youtube.


https://youtube.com/@hadithimbalimbali

Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 7

 





Unaweza kufatilia hadithi zetu kupitia chanel yetu ya youtube 👇   






Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 6

 




Unaweza kufatilia hadithi zetu kupitia chanel yetu ya youtube 👇   




Wednesday 22 March 2023

Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 5

 







 Unaweza kufatilia hadithi zetu kupitia chanel yetu ya youtube 👇   


Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 4

 



Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 3

 


 Unaweza kufatilia hadithi zetu kupitia chanel yetu ya youtube 👇   




Tunaomba pia mtu support kwa kusubscribe chanel yetu ya youtube

Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 2

Endelea kufatilia Hadithi ya Kachiki Sehemu ya 2



Habari wapenzi wasomaji wa hadithi zetu. Kufatilia hadithi zetu unaweza kufatilia hadithi zetu kupitia chanel yetu ya youtube 👇   




Tunaomba pia mtu support kwa kusubscribe chanel yetu ya youtube



Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 1

Sikiliza Hadithi ya Kachiki sehemu ya 1 hapa 👇





Hadithi ya Kachiki

Sikiliza Hadithi ya Kachiki hapa 👇






Kachiki ni hadithi inayomuhusu binti wa kiafrika ambaye amekulia kwenye mazingira ya kiafrika na kupitia vikwazo vingi katika maisha yake. Je atafanikiwa kuviruka vikwazo na viunzi vilivyopo mbele ya maisha yake? Je ni vikwazo vipi hivyo?


Jiandae kusikiliza Hadithi hii ya kusisimua ambayo itakufundisha na kukuburudisha. 



Sunday 12 March 2023

Hadithi mbalimbali

Habari wapenzi wasomaji wa hadithi zetu. Kufatilia hadithi zetu unaweza kufatilia hadithi zetu kupitia chanel yetu ya youtube 👇   




Tunaomba pia mtu support kwa kusubscribe chanel yetu ya youtube

Thursday 9 March 2023

Sikiliza Hadithi mbalimbali

Unaweza kufatilia hadithi mbalimbali kwenye youtube. Bonyeza link hii hapo chini 👇 

 Tunaomba pia mtu support kwa kusubscribe chanel yetu ya youtube