Translate

Tangazo la Hadithi

Tuesday 18 February 2014

Familia ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta










Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ana mke mmoja aitwae Margaret Gakuo Wanjiru Kenyatta na watoto watatu, wa kiume 2 wanaoitwa Jomo Kenyatta na Jaba Kenyatta na wa kike mmoja anayeitwa Ngina Kenyatta





Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akiwa na mke wake Margaret Gakuo Wanjiru Kenyatta





Rais Uhuru Kenyatta akiwa na familia yake







Rais Uhuru Kenyatta akiwa na familia yake





Rais Paul Kagame wa Rwanda na Familia yake









Rais Paul Kagame ana mke mmoja aitwaye Jeannette Kagame na watoto wanne, wavulana watatu  (Cyomoro Ivan Kagame, Ian Kagame na Brian Kagame) na msichana mmoja aitwaye Ange Kagame.



Rais Paul Kagame akiwa na mke wake Jeannette Kagame






Rais Paul Kagame akiwa na mke wake Jeannette Kagame





Rais Paul Kagame akiwa na mke wake Jeannette Kagame







Rais Paul Kagame akiwa na mke wake Jeannette Kagame







Paul Kagame (katikati) akiwa na watoto wake Ange Kagame (kushoto) na Cyomoro Ivan Kagame (kulia)





Paul Kagame (katikati) akiwa na watoto wake Cyomoro Ivan Kagame (kushoto) na Ange Kagame (kulia) 






Watoto wa rais Paul Kagame; kutoka kushoto ni Cyomoro Ivan Kagame, Ange Kagame, Ian Kagame na Brian Kagame mwaka 2010





Watoto wa Rais Paul Kagame; Cyomoro Ivan Kagame (kushoto) na Ange Kagame (kulia)





Tazama Picha ya mwanamke mwenye mahipsi makubwa duniani








Mikel Ruffinelli ni mama wa watoto 4. Inasemekana ndiye mwanamke mwenye mahipsi makubwa kuliko wote duniani ambayo yanafikia 8ft.

Mikel ameolewa na Reggie Brooks ambaye ni technician wa coputer. Mwenyewe anasema kuwa anaipenda sana shepu yake na hata mume wake amekuwa akimsifia kila wakati kwa kuwa na shepu hiyo hivyo hafikirii kabisa kufanya diet ili kupungua kwani hana matatizo yoyote ya kiafya.

Mikel ambaye alikuwa mwembamba alivyokuwa msichana alianza kuongezeka uzito alipokuwa na miaka 22 baada ya kuzaa mtoto wake wa kwanza aitwaye Andrew kutoka kwenye uhusiano wake wa kwanza.










Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe na familia yake












Rais Robert Mugabe akiwa na mke wake Grace Mugabe





Rais Robert Mugabe akiwa na mke wake Grace Mugabe





Rais Robert Mugabe akiwa na mke wake Grace Mugabe






Rais Robert Mugabe akiwa na mke wake Grace Mugabe







Rais Mugabe akiwa na binti yake Bona Mugabe





Rais Robert Mugabe akiwa na mtoto wake Robert Mugabe Jr.







Rais Robert Mugabe akiwa na mke wake Grace Mugabe na binti yao Bona Mugabe





Rais Robert Mugabe akiwa na mke wake Grace Mugabe na binti yao Bona Mugabe





Rais Robert Mugabe akiwa na mke wake Grace Mugabe wakiwa na watoto wao Robert Mugabe Jr (Kulia) na Chatunga Mugabe (kushoto) 





Rais Robert Mugabe akiwa na mke wake Grace Mugabe






Birthday boy: Robert Mugabe celebrates with his wife Grace, right, as they have a slice from the four-tier cake at the party in Harare
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe akisherehekea siku yake ya kuzaliwa alivyofikisha miaka 89





Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe akikata keki na familia yake kusherehekea siku yake ya kuzaliwa alivyofikisha miaka 85





Rais Robert Mugabe akiwa na mke wake Grace Mugabe siku ya harusi yao tarehe 17 August 1996








Rais Paul Kagame akiwa na mke wake Jeannett Kagame siku ya Harusi yao mwaka 1989





















Rais Paul Kagame na mke wake Jeanette Kagame miaka ya hivi karibuni





Wednesday 12 February 2014

Kweli Tumetoka Mbali - George W. Bush




Rais wa 43 wa Marekani George W. Bush akiwa amepakatwa na baba yake ambaye pia alikuwa rais wa Marekani wa 41, George Herbert Walker Bush






Rais wa 43 wa Marekani kutoka mwaka 2001 mpaka 2009 , George Walker Bush, akiwa na wazazi wake; mama yake Barbara Pierce Bush na baba yake ambaye alikuwa makamu wa rais kutoka mwaka 1981 mpaka 1989 na pia rais wa 41 wa Marekani kutoka mwaka 1989 mpaka 1993, George Herbert Walker Bush, mwaka 1955.







Rais wa 43 wa Marekani kutoka mwaka 2001 mpaka 2009 , George Walker Bush, akiwa na wazazi wake; mama yake Barbara Pierce Bush na baba yake ambaye alikuwa makamu wa rais kutoka mwaka 1981 mpaka 1989 na pia rais wa 41 wa Marekani kutoka mwaka 1989 mpaka 1993, George Herbert Walker Bush, mwaka 1955.







George W. Bush akiwa amembeba mdogo wake Jeb mwaka 1955






George W. Bush enzi za utoto wake







George W. Bush enzi za ujana wake







George W. Bush enzi za ujana wake







George W. Bush enzi za ujana wake







George W. Bush enzi za ujana wake akiwa na baba yake George Herbert Walker Bush






George W. Bush enzi za ujana wake akiwa na mke wake Laura Bush







George W. Bush enzi za ujana wake akiwa na mke wake Laura Bush







George W. Bush enzi za ujana wake akiwa na mke wake Laura Bush na watoto wao mapacha Jenna Bush (kushoto) na Barbara Bush (kulia)







eorge W. Bush enzi za ujana wake akiwa na mke wake Laura Bush na watoto wao mapacha Barbara Bush na Jenna Bush






George Walker Bush alikuwa ni rais wa 43 wa Marekani kutoka mwaka 2001 mpaka 2009. Pia aliwahi kuwa Governor wa 46 wa Texas kutoka mwaka 1995 mpaka 2000. George W. Bush ana mke aitwaye Laura Bush na watoto wawili mapacha wa kike, Barbara Bush na Jenna Bush.




George W. Bush akiwa na mke wake Laura Bush






George W. Bush akiwa na mke wake Laura Bush






George W. Bush akiwa na mke wake Laura Bush







George W. Bush akiwa na mke wake Laura Bush na watoto wake Barbara Bush na Jenna Bush siku alipoapishwa kuwa Rais wa taifa la Marekani







George W. Bush akiwa na familia yake, kutoka kushoto ni binti yake Barbara Bush, mke wake Laura Bush na kulia ni binti yake Jenna Bush






George W. Bush akiwa na familia yake







George W. Bush akiwa na familia yake







George W. Bush akiwa na familia yake







George W. Bush (kulia) akiwa na familia yake, kutoka kushoto Barbara Bush, Laura Bush, mume wa binti yake Jenna, Henry Hager, na binti yake Jenna Bush siku ya harusi ya Jenna na Henry







George W. Bush akiwa na mjukuu wake Mila Hager, mtoto wa binti yake Jenna Bush 







George W. Bush akiwa na mke wake Laura Bush na mjukuu wao Mila Hager, mtoto wa binti yao Jenna Bush 








George W. Bush akiwa na mke wake Laura Bush na binti yao Jenna Bush pamoja na mume wa Jenna Henry Hager na mtoto wake Mila Hager







George W. Bush akiwa na mke wake Laura Bush pamoja na baba yake na mama yake, George Herbert Walker Bush na Barbara Pierce Bush