Translate

Tangazo la Hadithi

Wednesday 5 February 2014

Kweli mtoto hakui kwa mama yake



Yani hata mtu uwe na cheo gani, uwe tajiri kiasi gani, uwe na pesa kiasi gani, uwe maarufu kiasi gani, uwe mzee kiasi gani bado kwa mama yako unabaki kuwa ni mtoto tu. Mwanadada maarufu Amber Rose ambaye ni model na muigizaji wa huko Marekani akifutwa usoni na mama yake, hii inadhihirisha kwamba, mbali na umaarufu alio nao kwa mama yake anabaki kuwa ni mtoto tu.




No comments:

Post a Comment