Translate

Tangazo la Hadithi

Tuesday 11 February 2014

Mvua kubwa zaleta maafa makubwa Burundi, watu zaidi ya 60 wafariki dunia







Mvua kubwa iliyonyesha kwenye mji mkuu wa Burundi, Bujumbura imeua watu zaidi ya 60. 

Imeripotiwa kuwa karibia nyumba 1000 zimeharibiwa vibaya na mvua hizo. na kusababisha watu zaidi ya 10,000 kukosa mahali pa kukaa. 

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza atangaza maombolezo ya siku 2 nchi nzima kuanzia tarehe 11.




Barabara zikiwa zimearibika vibaya






No comments:

Post a Comment