Translate

Tangazo la Hadithi

Sunday 9 February 2014

Kweli Tumetoka Mbali - Tyra Banks




Mwanamitindo maarufu wa Marekani Tyra Banks akiwa amebebwa na mama yake mzazi Caroline London, akiwa pamoja na kaka yake Devin Banks na binamu yake kwenye miaka ya 70.





Tyra Banks akiwa mdogo






Tyra Banks akiwa bado msichana mdogo





Tyra Banks kwa sasa

































Tyre Banks akiwa na mama yake Caroline London



Tyra Banks ni mwanamitindo maarufu duniani kutoka Marekani, pia ni mwigizaji.




No comments:

Post a Comment