Translate

Tangazo la Hadithi

Thursday 6 February 2014

Mjue Kijana asiyekuwa na mikono yote miwili aliyefaulu mitihani yake yote kwa kuandika kwa mguu







Letlhogonolo Mafela kutoka kijiji cha Matshepe, Mahikeng, Kaskazini Magharibi mwa South Africa ambaye hana mikono yote miwili amekuwa akitumia miguu yake kwa kuandikia. Hata akitaka kula  hutumia pia miguu yake kupeleka chakula mdomoni.

Mwaka 2012 alifaulu mitihani yake yote ingawa aliandika kwa kushika peni kutumia vidole vya miguu yake.




No comments:

Post a Comment