Translate

Tangazo la Hadithi

Tuesday 18 February 2014

Tazama Picha ya mwanamke mwenye mahipsi makubwa duniani








Mikel Ruffinelli ni mama wa watoto 4. Inasemekana ndiye mwanamke mwenye mahipsi makubwa kuliko wote duniani ambayo yanafikia 8ft.

Mikel ameolewa na Reggie Brooks ambaye ni technician wa coputer. Mwenyewe anasema kuwa anaipenda sana shepu yake na hata mume wake amekuwa akimsifia kila wakati kwa kuwa na shepu hiyo hivyo hafikirii kabisa kufanya diet ili kupungua kwani hana matatizo yoyote ya kiafya.

Mikel ambaye alikuwa mwembamba alivyokuwa msichana alianza kuongezeka uzito alipokuwa na miaka 22 baada ya kuzaa mtoto wake wa kwanza aitwaye Andrew kutoka kwenye uhusiano wake wa kwanza.










No comments:

Post a Comment