Translate

Tangazo la Hadithi

Monday 17 April 2023

Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 24




Baada ya kutafakari kwa muda mjomba wake Kachiki alimuita mke wake ambaye alikuwa nje ili kumuuliza kama amechukua pesa zake. Baada ya kufika alianza kumuuliza mke wake kama amechukua pesa zake alizokuwa ameziweka kwenye meza hapo chumbani ambazo alikuwa amezifunika na kitambaa, mke wake alikataa kata kata kuwa hajagusa kabisa kwenye hiyo meza pia hajazichukua. Mke wake aliendelea kumueleza kuwa kama angekuwa na shida yoyote inayohitaji pesa basi angemuomba na sio kuchukua bila idhini yake. Na isitoshe hata yeye wenyewe anafahamu kabisa kuwa akitaka pesa huwa anamuomba yeye mwenyewe. Mjomba wake Kachiki alianza kupandwa na hasira.....


Endelea kusikiliza hadithi ya Kachiki kujua pesa za mjomba wake Kachiki zimechukuliwa na nani.... 👆







No comments:

Post a Comment