Translate

Tangazo la Hadithi

Sunday 22 December 2013

Tumetoka Mbali - Barack Obama

Rais wa Marekani Barack Obama akiwa na mama yake  Ann Dunham kwenye miaka ya sitini.

Rais Barack Obama, miaka ya sitini

Rais Barack Obama, miaka ya sitini

Rais wa Marekani Barack Obama akiwa na babu yake mzaa mama Stanley Dunham

Rais wa Marekani Barack Obama akiwa na mama yake  Ann Dunham kwenye miaka ya sitini.

Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na baba yake Barack Obama Sr.

Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na mama yake Ann Dunham, mdogo wake Maya Soetoro na baba yake wa kambo Lolo Soetoro

Barack Obama (kulia) akiwa na babu yake mzaa mama Stanley Dunham, mama yake Ann Dunham, na mdogo wake Maya Soetoro kwenye miaka ya 70.

Rais wa Marekani Barack Obama akiwa na bibi yake mzaa mama Madelyn Dunham na babu yake mzaa mama Stanley Dunham

Rais wa Marekani Barack Obama akiwa na bibi yake mzaa mama Madelyn Dunham na babu yake mzaa mama Stanley Dunham

Barack Obama akiwa na ndugu zake wa upande wa kwa baba yake alivyoenda kuwatembelea nchini Kenya

Barack Obama akiwa na ndugu zake wa upande wa kwa baba yake alivyoenda kuwatembelea nchini Kenya

Rais Barack Obama akiwa na dada yake, mtoto wa mama yake kwa baba mwingine, Maya Soetoro

Barack Obama, 1990

Barack Obama akiwa na mama yake Ann Dunham (kushoto) na dada yake Maya Soetoro

Rais wa Marekani Barack Obama akiwa na mama yake  Ann Dunham 

Rais Barack Obama na mke wake Michelle Obama siku ya harusi yao iliyofanyika tarehe 18 October, 1992, wakiwa na mama zao. Kushoto ni Marian Robinson mama yake Michelle Obama na kulia ni Ann Dunham, mama yake Rais Barack Obama.

Rais Barack Obama akiwa na dada yake, mtoto wa mama yake kwa baba mwingine, Maya Soetoro

Rais Barack Obama akiwa na Binti zake, Malia Obama (kushoto) na Sasha Obama (kulia)

Rais Obama akiwa na mke wake Michelle Obama na watoto wao Sasha (kushoto) na Malia (wa pili kutoka kulia)

Rais Obama akiwa na mke wake Michelle Obama na watoto wao Sasha ( wa pili kutoka kushoto) na Malia (kulia)

Rais Obama akiwa na mke wake Michelle Obama na watoto wao Malia ( wa pili kutoka kushoto) na Sasha (kulia)

No comments:

Post a Comment