Translate

Tangazo la Hadithi

Showing posts with label Michelle Obama. Show all posts
Showing posts with label Michelle Obama. Show all posts

Monday, 23 December 2013

Tumetoka Mbali - Michelle Obama



Michelle Obama (mke wa rais wa Marekani, Bwana Barack Obama) akiwa amepakatwa na mama yake aitwaye Marian Robinson huku kaka yake Craig Robinson akiwa amepakatwa na baba yao.





Michelle Obama





Michelle Obama akiwa na kaka yake Craig Robinson





Michelle Obama





Michelle Obama akiwa na mume wake Barack Obama





Michelle Obama na Barack Obama siku ya harusi yao wakiwa na mama zao, kushoto ni mama yake Michelle Obama, Marian Robinson na kulia ni mama yake Barack Obama, Ann Dunham.





Michelle Obama akiwa na mume wake Barack Obama na watoto wao, Malia (kushoto) na Sasha (kulia)





Michelle Obama akiwa na kaka yake Craig Robinson





Michelle Obama akiwa na kaka yake Craig Robinson






Michelle Obama akiwa na kaka yake Craig Robinson





Michelle Obama akiwa na mama yake Marian Robinson






Michelle Obama akiwa na binti zake, Sasha (katikati) na Malia 
(kulia)





Michelle Obama akiwa na mume wake Rais Barack Obama 



Monday, 1 July 2013

Rais Barack Obama awasili Tanzania na kupokelewa kwa shangwe






Rais Barack Obama amewasili leo nchini Tanzania na kupokewa kwa shangwe na Watanzania. Rais Barack Obama amefika Tanzania akitokea South Africa alikokuwa kwa ziara ya siku mbili. Rais Barack Obama ameambatana pia na familia yake akiwepo mke wake Michelle Obama na watoto wao Malia na Sasha Obama. Akiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Rais Barack Obama alilakiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete na viongozi mbalimbali.



Rais Barack Obama akiongozwa na mwenyeji wake Rais wa Tanzania muheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.


Rais Barack Obama na mke wake Michelle Obama wakipokea maua kutoka kwa watoto mara baada ya kufika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.



Rais Barack Obama akicheza ngoma ya utamaduni mara alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam, Tanzania.


 Rais Barack Obama na mkewe Michell Obama pamoja na wenyeji wao Rais Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakisalimiana na wananchi waliokuja kumlaki katika Ikulu ya Dar es salaam.



Rais Barack Obama na Rais Kikwete wakihutubia waandishi wa habari Ikulu Dar es salaam.





Rais Obama akisalimiana na wananchi mbalimbali waliokuja kumlaki Ikulu ya Dar es salaam

Rais Obama akiwa ameongozana na mkuu wa majeshi ya Tanzania Meja Jenerali Davis Mwamunyange.





Kinamama wakiwa wamevaa kanga zenye sura ya Obama


 Akikagua gwaride la heshima


 Barack Obama Drive, mandhari ya kupendeza kabisa. Naona mbu wote wamehama kwa muda.



Michelle Obama atembelea ofisi za WAMA Foundation Leo





Mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama ametembelea ofisi za Foundation ya WAMA inayosimamiwa na mama Kikwete leo Jumatatu ya tarehe. Akiwa katika ofisi za WAMA Michelle Obama alikutana na mama Salma Kikwete na wake wa viongozi mbalimbali wa Tanzania.


                                   
Mke wa rais wa Marekani, Michelle Obama akisalimiana kwa furaha na mke wa rais wa Tanzania mama Salma Kikwete alipowasili kwenye ofisi za WAMA Dar es salaam.


Michelle Obama akiwasili katika ofisi za WAMA, Dar es salaam Tanzania

Wake wa viongozi mbalimbali wakimlaki mke wa rais wa Marekani Michelle Obama alipotembelea ofisi za WAMA leo