Translate

Tangazo la Hadithi

Showing posts with label USA. Show all posts
Showing posts with label USA. Show all posts

Wednesday, 12 February 2014

Kweli Tumetoka Mbali - George W. Bush

Rais wa 43 wa Marekani George W. Bush akiwa amepakatwa na baba yake ambaye pia alikuwa rais wa Marekani wa 41, George Herbert Walker Bush

Rais wa 43 wa Marekani kutoka mwaka 2001 mpaka 2009 , George Walker Bush, akiwa na wazazi wake; mama yake Barbara Pierce Bush na baba yake ambaye alikuwa makamu wa rais kutoka mwaka 1981 mpaka 1989 na pia rais wa 41 wa Marekani kutoka mwaka 1989 mpaka 1993, George Herbert Walker Bush, mwaka 1955.

George W. Bush akiwa amembeba mdogo wake Jeb mwaka 1955

George W. Bush enzi za utoto wake

George W. Bush enzi za ujana wake

George W. Bush enzi za ujana wake

George W. Bush enzi za ujana wake

George W. Bush enzi za ujana wake akiwa na baba yake George Herbert Walker Bush

George W. Bush enzi za ujana wake akiwa na mke wake Laura Bush

George W. Bush enzi za ujana wake akiwa na mke wake Laura Bush

George W. Bush enzi za ujana wake akiwa na mke wake Laura Bush na watoto wao mapacha Jenna Bush (kushoto) na Barbara Bush (kulia)

eorge W. Bush enzi za ujana wake akiwa na mke wake Laura Bush na watoto wao mapacha Barbara Bush na Jenna Bush

George Walker Bush alikuwa ni rais wa 43 wa Marekani kutoka mwaka 2001 mpaka 2009. Pia aliwahi kuwa Governor wa 46 wa Texas kutoka mwaka 1995 mpaka 2000. George W. Bush ana mke aitwaye Laura Bush na watoto wawili mapacha wa kike, Barbara Bush na Jenna Bush.

George W. Bush akiwa na mke wake Laura Bush

George W. Bush akiwa na mke wake Laura Bush

George W. Bush akiwa na mke wake Laura Bush

George W. Bush akiwa na mke wake Laura Bush na watoto wake Barbara Bush na Jenna Bush siku alipoapishwa kuwa Rais wa taifa la Marekani

George W. Bush akiwa na familia yake, kutoka kushoto ni binti yake Barbara Bush, mke wake Laura Bush na kulia ni binti yake Jenna Bush

George W. Bush akiwa na familia yake

George W. Bush akiwa na familia yake

George W. Bush akiwa na familia yake

George W. Bush (kulia) akiwa na familia yake, kutoka kushoto Barbara Bush, Laura Bush, mume wa binti yake Jenna, Henry Hager, na binti yake Jenna Bush siku ya harusi ya Jenna na Henry

George W. Bush akiwa na mjukuu wake Mila Hager, mtoto wa binti yake Jenna Bush 

George W. Bush akiwa na mke wake Laura Bush na mjukuu wao Mila Hager, mtoto wa binti yao Jenna Bush 

George W. Bush akiwa na mke wake Laura Bush na binti yao Jenna Bush pamoja na mume wa Jenna Henry Hager na mtoto wake Mila Hager

George W. Bush akiwa na mke wake Laura Bush pamoja na baba yake na mama yake, George Herbert Walker Bush na Barbara Pierce Bush

Monday, 23 December 2013

Tumetoka Mbali - Michelle Obama

Michelle Obama (mke wa rais wa Marekani, Bwana Barack Obama) akiwa amepakatwa na mama yake aitwaye Marian Robinson huku kaka yake Craig Robinson akiwa amepakatwa na baba yao.

Michelle Obama

Michelle Obama akiwa na kaka yake Craig Robinson

Michelle Obama

Michelle Obama akiwa na mume wake Barack Obama

Michelle Obama na Barack Obama siku ya harusi yao wakiwa na mama zao, kushoto ni mama yake Michelle Obama, Marian Robinson na kulia ni mama yake Barack Obama, Ann Dunham.

Michelle Obama akiwa na mume wake Barack Obama na watoto wao, Malia (kushoto) na Sasha (kulia)

Michelle Obama akiwa na kaka yake Craig Robinson

Michelle Obama akiwa na kaka yake Craig Robinson

Michelle Obama akiwa na kaka yake Craig Robinson

Michelle Obama akiwa na mama yake Marian Robinson

Michelle Obama akiwa na binti zake, Sasha (katikati) na Malia 
(kulia)

Michelle Obama akiwa na mume wake Rais Barack Obama 

Sunday, 22 December 2013

Tumetoka Mbali - Barack Obama

Rais wa Marekani Barack Obama akiwa na mama yake  Ann Dunham kwenye miaka ya sitini.

Rais Barack Obama, miaka ya sitini

Rais Barack Obama, miaka ya sitini

Rais wa Marekani Barack Obama akiwa na babu yake mzaa mama Stanley Dunham

Rais wa Marekani Barack Obama akiwa na mama yake  Ann Dunham kwenye miaka ya sitini.

Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na baba yake Barack Obama Sr.

Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na mama yake Ann Dunham, mdogo wake Maya Soetoro na baba yake wa kambo Lolo Soetoro

Barack Obama (kulia) akiwa na babu yake mzaa mama Stanley Dunham, mama yake Ann Dunham, na mdogo wake Maya Soetoro kwenye miaka ya 70.

Rais wa Marekani Barack Obama akiwa na bibi yake mzaa mama Madelyn Dunham na babu yake mzaa mama Stanley Dunham

Rais wa Marekani Barack Obama akiwa na bibi yake mzaa mama Madelyn Dunham na babu yake mzaa mama Stanley Dunham

Barack Obama akiwa na ndugu zake wa upande wa kwa baba yake alivyoenda kuwatembelea nchini Kenya

Barack Obama akiwa na ndugu zake wa upande wa kwa baba yake alivyoenda kuwatembelea nchini Kenya

Rais Barack Obama akiwa na dada yake, mtoto wa mama yake kwa baba mwingine, Maya Soetoro

Barack Obama, 1990

Barack Obama akiwa na mama yake Ann Dunham (kushoto) na dada yake Maya Soetoro

Rais wa Marekani Barack Obama akiwa na mama yake  Ann Dunham 

Rais Barack Obama na mke wake Michelle Obama siku ya harusi yao iliyofanyika tarehe 18 October, 1992, wakiwa na mama zao. Kushoto ni Marian Robinson mama yake Michelle Obama na kulia ni Ann Dunham, mama yake Rais Barack Obama.

Rais Barack Obama akiwa na dada yake, mtoto wa mama yake kwa baba mwingine, Maya Soetoro

Rais Barack Obama akiwa na Binti zake, Malia Obama (kushoto) na Sasha Obama (kulia)

Rais Obama akiwa na mke wake Michelle Obama na watoto wao Sasha (kushoto) na Malia (wa pili kutoka kulia)

Rais Obama akiwa na mke wake Michelle Obama na watoto wao Sasha ( wa pili kutoka kushoto) na Malia (kulia)

Rais Obama akiwa na mke wake Michelle Obama na watoto wao Malia ( wa pili kutoka kushoto) na Sasha (kulia)