Translate

Tangazo la Hadithi

Tuesday, 7 January 2014

Matukio yaliyowahi kutingisha Tanzania - Ajali ya MV BUKOBA









Mojawapo ya tukio lililotingisha Tanzania ni tukio la ajali ya MV Bukoba iliyotokea mnamo mwaka 21 May 1996 baada ya Meli hiyo ya MV Bukoba iliyokuwa ikisafiri katika ziwa Victoria kutoka Bukoba kuelekea Mwanza kuzama. Inasadikiwa kuwa meli hiyo ya MV Bukoba ilikuwa na abiria kati ya 750 mpaka 800 pamoja na wafanyakazi 37. Kati ya hao waliookolewa wakiwa hai ni watu 114 na miili iliyopatikana ilikuwa ni 391. Hata hivyo zaidi ya miili ya watu 332 haikupatikana.










Mnara wa kumbukumbu ya ajali ya MV Bukoba ukiwa na majina ya baadhi ya wahanga wa ajali









No comments:

Post a Comment