Translate

Tangazo la Hadithi

Showing posts with label Yvonne Okoro. Show all posts
Showing posts with label Yvonne Okoro. Show all posts

Monday, 24 March 2014

Kweli Msanii ni Kioo cha Jamii







Yvonne Okoro ni msanii maarufu sana wa Ghana ambaye naye amekuwa akitoa misaada mbali mbali kwa jamii yenye uhitaji, hivyo kufanya ule usemi wa msanii ni kioo cha jamii kuwa na maana.











Kweli msanii mahali popote duniani ni kioo cha jamii.


Yvonne Okoro ambaye ni msanii maarufu sana wa filamu wa Ghana akikata utepe kufungua sehemu ya kuchezea watoto wenye ulemavu aliyowajengea katika shule maalumu ya Dzorwulu Accra, Ghana siku ya birthday yake kutimiza miaka 29 tarehe 25 mwezi wa 11 mwaka 2013.











































Tuesday, 7 January 2014

Yvonne Okoro ambaye ni muigizaji wa Ghana akiwa na ndugu zake








Yvonne Okoro ni muigizaji kutoka Ghana. Yvonne Okoro ni mtoto wa kwanza kwa kuzaliwa kwa mama yake mzazi na ni watano kwa baba yake mzazi.




Yvonne Okoro




Yvonne Okoro akiwa na ndugu zake.
Yvonne Okoro (kulia) akiwa na mdogo wake Rosaline Okoro (kushoto)







Yvonne Okoro (kulia) akiwa na mdogo wake Rosaline Okoro (kushoto)





Yvonne Okoro (kushoto) akiwa na mdogo wake Rosaline Okoro (kulia)





Yvonne Okoro (katikati) akiwa na wadogo zake, Rosaline Okoro (kushoto) na Elizabeth Okoro (kulia)





Yvonne Okoro (katikati) akiwa na wadogo zake, Rosaline Okoro (kulia) na Elizabeth Okoro (kushoto)





Yvonne Okoro akiwa na ndugu zake. Kutoka kushoto ni Elizabeth, kaka yake Raymond, Rosaline na Yvonne Okoro