Translate

Tangazo la Hadithi

Showing posts with label Swaziland. Show all posts
Showing posts with label Swaziland. Show all posts

Wednesday, 26 March 2014

Baadhi ya watoto wa Mfalme Mswati III




 Binti wa kwanza wa King Mswati III Princess Sikhanyiso ambaye anajulikana pia kama Pashu




Binti wa kwanza wa King Mswati III Princess Sikhanyiso ambaye anajulikana pia kama Pashu




Princess Sikhanyiso




Princess Sikhanyiso





Princess Sikhanyiso





Princess Sikhanyiso





Princess Sikhanyiso akiwa na kaka yake Prince Lindani




Mfalme Mswati akiwa na binti yake Princess Sikhanyiso kwenye birthday ya  binti yake huyo ya kutimiza miaka 21 mwaka 2008



Princess Sikhanyiso (kushoto) akiwa na mama yake mzazi ambaye ni mke wa 3 wa Mfalme Mswati wa III anayeitwa Sibonelo Mngomezulu na anayejulikana kama Inkhosikati LaMbikiza 




Mfalme Mswati akiwa na binti yake Princess Tiyandza kwenye birthday ya  binti yake huyo ya kutimiza miaka 21 tarehe 25 mwezi wa 8 mwaka 2013





Mfalme Mswati akimpa binti yake Tiyandza zawadi kwenye birthday yake ya kutimiza miaka 21 tarehe 25 mwezi wa 8 mwaka 2013





Mfalme Mswati akimpa binti yake Tiyandza zawadi kwenye birthday yake ya kutimiza miaka 21 tarehe 25 mwezi wa 8 mwaka 2013



Princess Tiyandza (kushoto) akiwa na mama yake mzazi ambaye ni mke wa 4 wa King Mswati III anayeitwa Carol Dlamini na anayejulikana kama Inkhosikati LaNgangaza





Mfalme Mswati akiwa na baadhi ya wake zake





Mfalme Mswati wa III akiwa na mke wake wa 3 Sibonelo Mngomezulu anayejulikana kama Inkhosikati LaMbikiza






Mfalme Mswati wa III akiwa na mke wake wa 3 Sibonelo Mngomezulu anayejulikana kama Inkhosikati LaMbikiza






Mfalme Mswati III akiwa na mke wake wa 4 Carol Dlamini anayejulikana kama Inkhosikati LaNgangaza







Mfalme Mswati III akiwa na mke wake wa 8 Angel Dlamini anayejulikana kama Inkhosikati LaGija







Mfalme Mswati wa III akiwa na mke wake wa 10 Zena Mahlangu anayejulikana kama Inkhosikati LaMahlangu






Mfalme Mswati wa III akiwa na mke wake wa 10 Zena Mahlangu anayejulikana kama Inkhosikati LaMahlangu







King Mswati III akiwa na mke wake wa 12 Nothando Dube anayejulikana kama Inkhosikati LaDube







King Mswati III akiwa na mke wake wa 12 Nothando Dube anayejulikana kama Inkhosikati LaDube kwenye moja ya ziara zake za nje






Baadhi ya wake wa King Mswati III wa Swaziland








Mfalme Mswati III wa Swaziland mpaka sasa inaaminika kuwa ana wake 14 na bado anaendelea kuoa karibia kila mwaka kulingana na mila zao za Kiswazi.

Wafahamu baadhi ya wake zake:



Mke wa kwanza wa Mfalme Mswati III anayejulikana kama (Queen) Inkhosikati LaMatsebula






Mke wa 3 wa Mfalme Mswati III anayejulikana kama (Queen) Inkhosikati LaMbikiza








Mke wa 4 wa Mfalme Mswati III anayejulikana kama (Queen) Inkhosikati LaNgangaza






Mke wa 10 wa Mfalme Mswati III anayejulikana kama (Queen) Inkhosikati LaMahlangu






Mke wa 11 wa Mfalme Mswati wa III, anayejulikana kama (Queen) Inkhosikati LaNtetesa (kushoto) akiwa na mke wa 10 wa Mfalme Mswati III, Zena Mahlangu anayejuliakana kama (Queen) Inkhosikati LaMahlangu