Translate

Tangazo la Hadithi

Showing posts with label Real Madrid. Show all posts
Showing posts with label Real Madrid. Show all posts

Wednesday, 15 January 2014

Cristiano Ronaldo na ndugu zake







Christiano Ronaldo ni mchezaji wa Kireno ambaye anachezea timu ya Real Madrid kwa sasa. Cristiano Ronaldo pia amewahi kuchezea timu ya Manchester United ya England. Cristiano Ronaldo ni wa mwisho kuzaliwa kati ya watoto wanne waliozaliwa na Maria Dolores Aveiro na Jose Dinis Aveiro. Ana kaka mmoja anayeitwa Hugo Aveiro na dada wawili wanaoitwa Elma Aveiro na Katia Aveiro. Baba yake Cristiano Ronaldo alifariki mwaka 2005 wakati Christiano Ronaldo akiwa na miaka 20 tu.





Cristiano Ronaldo







Cristiano Ronaldo







Cristiano Ronaldo akiwa na mama yake mzazi Maria Dolores Aveiro






Cristiano Ronaldo akiwa na familia yake. Kutoka kushoto ni mama yake, Maria Dolores Aveiro, dada yake Elma Aveiro, Critiano Ronaldo, dada yake Katia Aveiro na kaka yake Hugo Aveiro






Cristiano Ronaldo akiwa na mtoto wake Cristiano Ronaldo Junior






Kutoka kushoto ni mama yake Cristiano Ronaldo, Maria Dolores Aveiro, dada yake, Katia Aveiro na Elma Aveiro






Mama yake Cristiano Ronaldo akiwa na mtoto wa Cristiano Ronaldo anayeitwa Cristiano Ronaldo Jr.




Kweli mtoto Hakui kwa mama yake







Yani hata mtu uwe na cheo gani, uwe tajiri kiasi gani, uwe na pesa kiasi gani, uwe maarufu kiasi gani, uwe mzee kiasi gani bado kwa mama yako unabaki kuwa ni mtoto tu.

Mchezaji maarufu wa mpira kutoka Ureno ambaye kwa sasa anachezea timu ya Real Madrid ya Spain akitengenezwa koti vizuri na mama yake mzazi aitwaye Dolores Aveiro huku dada yake akiangalia siku ya sherehe yake ya kuzaliwa ya kutimiza miaka 27 tarehe 5 February, mwaka 2012.  Hii inadhihirisha kwamba, mbali na umaarufu alio nao Cristiano Ronaldo kwa mama yake anabaki kuwa ni mtoto tu.