Translate

Tangazo la Hadithi

Showing posts with label Nigeria. Show all posts
Showing posts with label Nigeria. Show all posts

Monday, 14 April 2014

Harusi ya mtoto wa Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan






Rais Goodluck Jonathan akiwa na binti yake Faith








Rais Goodluck Jonathan akimkabidhi binti yake Faith kwa ajili ya kufunga ndoa






















Rais Goodluck Jonathan (wa kwanza kushoto) akiwa na mke wake Patience Jonathan (wa kwanza kulia) pamoja na mama wa bwana harusi (wa pili kushoto) na baba mzazi wa bwana harusi (wa pili kulia) na maharusi Faith Sakwe na Godswill Osim Edward





Wageni waalikwa






Shamra shamra zikiendelea





















Wageni waalikwa nao waliondoka na zawadi zao, mojawapo ikiwa ni gold-plated iphone

















Thursday, 27 March 2014

Genevieve Nnaji na Mikel Obi mchezaji wa Chelsea wakipanda Private Jet kwenda ku shuti Movie South Africa










































Muigizaji wa Nigeria Omotola Jalade Ekeinde alivyosherehekea siku yake ya kuzaliwa kutimiza miaka 36 tarehe 7 February mwaka 2014










Safari hii Omotola ambaye pia anajulikana kwa a.k.a ya Omosexy alisheherekea siku yake ya kuzaliwa kutimiza miaka 36 tofauti kidogo kama ilivyozoeleka kwani safari hii alisherehekea na wafanyakazi wake ofisini kwake.


Omotola pia alipata zawadi ya chupa ya champagne (Taste of Diamonds) inayoitwa Gout de Diamants kutoka kwa watengenezaji, yenye thamani ya 1,200, 000 pounds









































Muigizaji wa Nigeria Omotola Jalade Ekeinde alivyosherehekea siku yake ya kuzaliwa kutimiza miaka 35 tarehe 7 February mwaka 2013





Omotola na mume wake Captain Matthew Ekeinde





Omotola na mume wake Captain Matthew Ekeinde





Omotola (wa kwanza kushoto) akiwa na waigizaji wenzake, Chidi Mokeme (wa pili kushoto) Genevieve Nnaji (katikati) Ibinabo Fiberisima (wa pili kutoka kulia) na mume wa Omotola Matthew Ekeinde (wa kwanza kulia)





Omotola akikata keki pamoja na waigizaji wenzake wa Nollywood, Monalisa Chinda (wa kwanza kushoto) Genevieve Nnaji (wa pili kulia) na Ibinabo Fiberisima (wa kwanza kulia)





Omotola akiwa na mchekeshaji maarufu wa Nigeria, AY






Omotola akiwa na muigizaji mwenzake wa Nollywood Chidi Mokeme





Omotola akiwa na muigizaji mwenzake Genevieve Nnaji (kulia) na mchekeshaji maarufu wa Nigeria AY (katikati)





Omotola (katikati) akiwa na waigizaji wenzake wa Nollywood Genevieve Nnaji (kulia) na ibinabo Fiberisima (kushoto)













Genevieve Nnaji akiwa na mwanamuziki Banky W





Genevieve Nnaji akiwa na comedian AY



































Omotola Jalade Ekeinde na familia yake











Omotola Jalade Ekeinde ni msanii maarufu sana kutoka Nigeria. Omotola ambaye pia anajulikana sana kwa jina la Omosexy huko Nigeria ameolewa na ni mama wa watoto 4 ambao ni Princess Ekeinde, M.J Ekeinde, Meriah Ekeinde na Michael Ekeinde




Omotola Jalade Ekeinde





Omotola Jalade Ekeinde





Omotola akiwa na mume wake Captain Matthew Ekeinde





Omotola akiwa na mume wake Captain Matthew Ekeinde






Omotola Jalade Ekeinde akiwa na mume wake Captain Matthew Ekeinde pamoja na watoto wao, M.J Ekeinde (wa kwanza kushoto), Meriah Ekeinde (wa pili kushoto), Princess Ekeinde (wa pili kulia) na Michael Ekeinde (wa kwanza kushoto) 





Omotola Jalade Ekeinde akiwa Italy kwenye mapumziko pamoja na familia yake 




Saturday, 18 January 2014