Msanii maarufu wa Bongo fleva Lady Jaydee pamoja na familia yake akitoa misaada mbalimbali kwenye kituo cha kulelea watoto yatima cha Maunga Centre kilichopo huko Kinondoni jijini Dar mnamo mwezi wa 6 mwaka 2012.
Translate
Tangazo la Hadithi
Showing posts with label Msaada. Show all posts
Showing posts with label Msaada. Show all posts
Sunday, 23 March 2014
Kweli Msanii ni Kioo Cha Jamii
Wednesday, 8 January 2014
Mazuri yanayofanywa na viongozi wetu - Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya kwa tiketi ya CCM Mary Mwanjelwa akitoa msaada wa Mabati 20 na mipira 2
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya kwa tiketi ya CCM Dr. Mary Mwanjelwa akikabidhi msaada wa mabati ishirini (20) kwa ajili ya ujenzi wa msikiti Majengo jijini Mbeya, July 2013.
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya kwa tiketi ya CCM Dr. Mary Mwanjelwa akikabidhi msaada wa mipira miwili kwa ajili ya Timu ya vijana iliyopo Majengo.
Labels:
CCM,
Mbeya,
Mbunge wa viti maalum,
mbunge wa viti maalum Mary Mwanjelwa,
Msaada,
Viti maalum
Subscribe to:
Posts (Atom)




















