Translate

Tangazo la Hadithi

Showing posts with label Jackie Appiah. Show all posts
Showing posts with label Jackie Appiah. Show all posts

Saturday, 22 March 2014

Jackie Appiah akiwa na Tuzo zake









Jackie Appiah ni msanii maarufu sana kutoka nchini Ghana na pia amefanikiwa kupata tuzo nyingi mbalimbali kutokana na kazi yake hiyo ya uigizaji.










Jackie Appiah akiwa na tuzo zake 





















































































Jackie Appiah akiwa ameshika moja ya tuzo zake huku akiwa na muigizaji mwenzake kutoka Ghana Majid Michel





Kweli Msanii ni Kioo Cha Jamii









Kweli msanii mahali popote duniani ni kioo cha jamii. 


Msanii maarufu wa Ghana Jackie Appiah akitoa msaada wa vitu mbalimbali kama vinywaji, chakula, pamoja na pesa taslimu dola za Kimarekani 1000 (zaidi ya shilingi milioni moja na laki sita pesa za kitanzania) kwa watoto wanaoumwa Cancer siku ya birthday yake tarehe 5 December, mwaka 2012 katika mojawapo ya hospitali katika mji wa Accra, Ghana.



































Msanii Jackie Appiah alipotembelea kwenye shule ya sekondari ya Ebenezer Hills Junior Secondary School iliyopo huko Ghana na kutoa misaada ya vitu mbalimbali na pesa taslimu kwenye birthday yake ya kutimiza miaka 30 tarehe 5 December 2013. 

Pia aliwalipia ada ya mtihani wanafunzi wa mwaka wa mwisho wapatao 163, na kutengeneza kiwanja cha mpira wa miguu cha shule hiyo, kuweka feni madarasani, alitoa meza ya mchezo wa table tennis, Jezi 36 za mpira, mipira na pia aliwapa walimu 5 scholarship ya kwenda kusoma masomo ya ICT ili watakaporudi waweze kuwafundisha wanafunzi wao masomo hayo