Translate

Tangazo la Hadithi

Showing posts with label Berkshire. Show all posts
Showing posts with label Berkshire. Show all posts

Tuesday, 11 February 2014

Mafuriko makubwa yaikumba Uingereza






Nyumba, maduka na biashara mbalimbali huko Berkshire, Datchet nchini Uingereza yamezingirwa na maji. Mpaka jana Jumatatu ya tarehe 10 mwezi wa pili usiku polisi wamesema kuwa karibia watu zaidi ya 150 walikuwa wameondolewa kwenye makazi yao na kupelekwa kwenye hifadhi za muda.




 Park zikiwa zimefunikwa kabisa na maji















Watu wakiokolewa