Translate

Tangazo la Hadithi

Friday, 24 March 2023

Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 8



KACHIKI NA MJOMBA WAKE WANARUDI KIJIJINI

Kachiki alikosa raha sana na kukata tamaa kabisa baada ya kutomuona mama yake. Aliwaza mama yake atakuwa wapi? Alimuangalia mjomba wake na kumuona kuwa hana furaha, pia alionekana ni mwenye mawazo mengi mno. Aliwaza labda mama yake atakuwa alikufa ndio maana mjomba wake alikuwa ni mwenye huzuni na katika hali ile na ndiyo maana hakutaka kumueleza chochote kuhusu mama yake alipo, au anasubiri kumueleza wakifika nyumbani?...


Ili kujua kilichompata mama yake Kachiki endelea kusikiliza hadithi hii ya Kachiki..👆




Thursday, 23 March 2023

Hadithi mbalimbali

Je wewe ni mpenzi wa hadithi? kama jibu ni ndio endelea kusikiliza hadithi zetu youtube kupitia channel yetu ya @Hadithimbalimbali. Bonyeza link hapo chini 👇 kufika kwenye channel yetu ya youtube.


https://youtube.com/@hadithimbalimbali

Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 7

 





Unaweza kufatilia hadithi zetu kupitia chanel yetu ya youtube 👇   






Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 6

 




Unaweza kufatilia hadithi zetu kupitia chanel yetu ya youtube 👇   




Wednesday, 22 March 2023

Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 5

 







 Unaweza kufatilia hadithi zetu kupitia chanel yetu ya youtube 👇   


Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 4

 



Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 3

 


 Unaweza kufatilia hadithi zetu kupitia chanel yetu ya youtube 👇   




Tunaomba pia mtu support kwa kusubscribe chanel yetu ya youtube