Translate

Tangazo la Hadithi

Thursday, 10 April 2014

Kweli Tumetoka mbali - Whitney Houston

Whitney Houston akiwa na familia yake kwenye miaka ya 80: Kutoka kushoto ni Kaka yake Gary Garland Houston (mtoto wa mama yake kwa baba mwingine), Mama yake mzazi Cissy Houston, Whitney Houston, baba yake mzazi ambaye naye ni marehemu John Russel Houston, Jr. na kaka yake mwingine Michael Houston

Whitney Houston akiwa na kaka zake Gary Garland Houston (kushoto) na Michael Houston (kulia)

Whitney Houston akiwa na mama yake Mzazi Cissy Houston enzi hizo

Whitney Houston akiwa na wazazi wake

Whitney Houston

Whitney Houston

Whitney Houston

Whitney Houston

Whitney Houston

Whitney Houston akiwa na mama yake Mzazi Cissy Houston

Whitney Houston akiwa na wazazi wake mwaka 1987

Whitney Houston akiwa na mama yake Mzazi Cissy Houston na kaka yake Gary Garland Houston (mtoto wa mama yake kwa baba mwingine)  mwaka 1988

Whitney Houston akiwa na wazazi wake March 1988

Whitney Houston akiwa na mama yake Mzazi Cissy Houston enzi hizo

Whitney Houston akiwa na mama yake Mzazi Cissy Houston enzi hizo

Whitney Houston akiwa na aliyekuwa mume wake Bobby Brown na mtoto wao Bobbi Kristina 

Whitney Houston akiwa na aliyekuwa mume wake Bobby Brown

Whitney Houston akiwa na mama yake Mzazi Cissy Houston enzi hizo

Whitney Houston akiwa na mama yake Mzazi Cissy Houston enzi hizo

Whitney Houston (kulia) akiwa na binamu yake Dionne Warwick (kushoto) na mama yake mzazi Cissy Houston (katikati)

Whitney Houston (kushoto) akiwa na binamu yake Dionne Warwick (kulia) na mama yake mzazi Cissy Houston (katikati)

Whitney Houston (kulia) akiwa na binamu yake Dionne Warwick (kushoto) 

Whitney Houston akiwa na mwanae Bobbi Kristina baada ya kuwa mkubwa

Whitney Houston akiwa na mwanae Bobbi Kristina baada ya kuwa mkubwa

Whitney Houston akiwa na mama yake Mzazi Cissy Houston 

Whitney Houston akiwa na familia yake enzi za uhai wake

Whitney Houston akiwa na mama yake  mzazi Cissy Houston

Whitney Houston akiwa na binti yake wa pekee Bobbi Kristina 

Whitney Houston akiwa na mama yake  mzazi Cissy Houston na kaka yake Gary Garland Houston (mtoto wa mama yake Whitney kwa baba mwingine)

Mtoto wa Whitney Houston, Bobbi Kristina (kushoto) akiwa na bibi yake, mama yake Whitney Houston, Cissy Houston (kulia)

Mtoto wa Whitney Houston, Bobbi Kristina (kulia) akiwa na bibi yake, mama yake Whitney Houston, Cissy Houston (kushoto)

Wednesday, 9 April 2014

Rais Paul Biya wa Cameroon akiwa na familia yake

Rais Paul Biya akiwa na mke wake Chantal Biya

Rais Paul Biya na mke wake Chantal Biya wakipokewa baada ya kuwasili Beijing nchini China mwaka 2006

Rais Paul Biya akiwa na mke wake Chantal Biya alivyosherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 80 tarehe 13 mwezi wa 2 mwaka 2013

Rais Paul Biya akiwa na familia yake kwenye sherehe yake ya kutimiza miaka 80 ya kuzaliwa tarehe 13 mwezi wa 2 mwaka 2013. Kutoka kushoto ni Binti yake Anastasia Brenda Biya, Rais Paul Biya, mke wake Chantal Biya, mtoto wao wa mwisho Paul Junior Biya na mtoto wa Rais Biya kwa mwanamke mwingine Frank Biya

Rais Paul Biya akiwa na mke wake Chantal Biya na watoto wao, Anastasia Brenda Biya (kushoto) na Paul Junior Biya (kulia)

Rais Paul Biya akiwa na familia yake na baadhi ya ndugu wachache

Rais Paul Biya akiwa na mke wake Chantal Biya siku mke wake alivyotimiza miaka 42 ya kuzaliwa kwake tarehe 4 mwezi wa 12 mwaka 2012.

Familia ya Rais Biya ikisherehekea siku ya kuzaliwa mke wa Rais huyo Chantal Biya

Mke wa Rais Paul Biya akiwa na zawadi zake alizozawadiwa kwenye siku yake ya kuzaliwa

Rais Paul Biya na familia yake akisherehekea siku yake ya kuzaliwa kutimiza miaka 81 tarehe 13 mwezi wa 2 mwaka 2014

Rais Paul Biya akipokea zawadi kutoka kwa mke wake Chantal Biya na mwanae Anastasia Brenda Biya

Rais Joseph Kabila wa DRC akiwa na familia yake

Rais Joseph Kabila akiwa na mke wake Olive Lembe di Sita

Rais Joseph Kabila akiwa na mke wake Olive Lembe di Sita na binti yao Sifa Kabila

Rais Kabila akiwa na mama yake mzazi Sifa Mahanya Kabila

Rais Kabila akiwa na mama yake mzazi Sifa Mahanya Kabila na ndugu wengine wa familia

Rais Joseph Kabila wa DR Congo akiwa na mke wake Olive Lembe di Sita anayejulikana pia kama Olive Kabila siku ya harusi yao Tarehe 17 mwezi wa 6 mwaka 2006

Rais Kabila akiwa na mama yake Sifa Mahanya Kabila

Mama yake Joseph Kabila akiwapa maharusi zawadi