Hadithi Kilimani
Translate
Tangazo la Hadithi
Thursday, 4 May 2023
Hadithi ya Kachiki - sehemu ya 28
Endelea kusikiliza hadithi ya Kachiki sehemu ya 28
Hadithi ya Kachiki - sehemu ya 27
Endelea kusikiliza hadithi ya Kachiki sehemu ya 27
Wednesday, 3 May 2023
Hadithi ya Kachiki - sehemu ya 26
Endelea kusikiliza sehemu ya 26...
Thursday, 20 April 2023
Hadithi ya Kachiki - sehemu ya 25
Endelea kusikiliza hadithi ya Kachiki sehemu ya 25
Monday, 17 April 2023
Hadithi ya Kachiki - Sehemu ya 24
Baada ya kutafakari kwa muda mjomba wake Kachiki alimuita mke wake ambaye alikuwa nje ili kumuuliza kama amechukua pesa zake. Baada ya kufika alianza kumuuliza mke wake kama amechukua pesa zake alizokuwa ameziweka kwenye meza hapo chumbani ambazo alikuwa amezifunika na kitambaa, mke wake alikataa kata kata kuwa hajagusa kabisa kwenye hiyo meza pia hajazichukua. Mke wake aliendelea kumueleza kuwa kama angekuwa na shida yoyote inayohitaji pesa basi angemuomba na sio kuchukua bila idhini yake. Na isitoshe hata yeye wenyewe anafahamu kabisa kuwa akitaka pesa huwa anamuomba yeye mwenyewe. Mjomba wake Kachiki alianza kupandwa na hasira.....
Endelea kusikiliza hadithi ya Kachiki kujua pesa za mjomba wake Kachiki zimechukuliwa na nani.... 👆
Friday, 14 April 2023
Hadithi ya Kachiki
Habari wasikilizaji wa hadithi kilimani, kuendelea kufurahia na kusikiliza hadithi zetu mbalimbali tunapatikana pia kwenye youtube. Tunaomba usubscribe kwenye channel yetu ya youtube. Kwenda kwenye channel yetu ya youtube bonyeza kwenye link hii 👇